EFFECTS ZA NDOA ZA UJANANI

Bonyeza hapa kuangalia clip yote
https://www.youtube.com/watch?v=RcVwWQSVWGg
usisahau kusbscribe please

Ungehadisia na vijimaneno kidogo

Aisee…mb mongaa

Umeonaee

Tupe na MB mkuu

Watu wanatafuta Viewers hadi Kenya

Haya mambo ya kuleta habri kwa video yanaudhi sana, kumbe viewers ni dili sana ee

Viewers dili mkuu hua wakifikia idadi kadhaa utube wanakulipa

View yako ni pesa haha

Ndio ndio tunaenda viral nigaa

We jamaa unachosha sasa.

Ungetanguliza mb halafu utuambie iyo ni case study ya wapi, usije leta jamii za nigeria humu wakati hatufanani nazo hata robo

Haha hii ni bongo movie typical East African, support yako ni ya muhimu sana boss. I appreciate you commenting, ntajiboresha…

Pole sana boss!

Most of our content consumers come from Kenya, so yeah you guys are viral already… Big Up!!

Mkuu uwe unaeka na maelezo kidogo kuvutia utazamaji

Check hii boss ni fupi na ina very good story line

Kama story ni mbaya block me

Nashkuru sana kwa ushauri wako, ntaufanyia kazi

Subscribers pia ni big deal mkuu, support me boss na usubscribe