Eeeh watu hapana tambua arsenal win

Thought ningepata comments on arsenal win

1 Like

perchance ika-win season hii dunia itakalika juu ya makelele? hata wengine watajinyonga so they die happy…

1 Like

Sasa unataka tufanye aje?

Migrate from Chelsea to mighty arsenal

1 Like

ndio nini? eh, hiyo itanifanya nikule chapo mbili Krisi?

Aki c tupatiwe Man useless like right now ama kaChelsea

2 Likes

calm down ass n all , its only three points…

Hehehe. Si hii kitu unapatia watu machungu.

1 Like

Leicester city is still ahead. That’s the real exciting stuff. Not a team that has under performed for the last 11 seasons.

2 Likes

Napenda sana

[ATTACH=full]24924[/ATTACH]

8 Likes

Watu wa Arsenal are gentlemen. You don’t kick people when they are down. We realize that kuna man city fans around ktalk hatutaki kuwaharibia xmas mood

3 Likes

Gashwin wacha mafeelings

mafeelings za nini…na troll majamaa waache kuona ni kama wameshida epl na uefa double…mzee ataanguka kwa station tena halafu waanze kupatwa na mastress…

Leicester inachapwa na wazito reds hii weekend.

[ATTACH=full]24934[/ATTACH]

Utamu 2 nikama Christmas yangu iliingia Jana.

                  My bros, reserve the real celebrations for the end of the season i.e after winning a trophy ....if there would be any.

Good to see my good friend wa Klist Jirani bado ako Arsenali[ATTACH=full]24941[/ATTACH]

Arsenal ni moto ya august-december,come january madraw na ku loose,check previous 8seasons stats stats,they dont lie or brag,arsenal will finish 4th as expected.