So nimekuwa nikisoma hekaya na sex escapades for long to the extend nimeanza pia mimi kuona kukula dem bila cd haikui tamu. Also nimeanza kubelieve HIV is a scam that is designed by wazungus to make Africans fear and steal their resources. So kuna huyu Gen Z nilikuwa nikimkatia na akaingiliana box. But mimi nimekataa kutumia cd so nikamshoo aende akapime kwanza nijue status yake before kuengage na any sex activities.So before nimkule nikamshoo aende hosy halafu anitumie results via whatsapp. Alienda kwa clinic flani hapo akapewa test results ambayo i was not satisfied. The medic ni kama alikuwa haelewi hizo results coz alisema yuko negative but clearly ukiangalia kwa picha it showed two lines meaning alikuwa positive (check first image). Then nikamshoo aconfirm tena kwa clinic tofauti and alipoenda huko akapimwa sijui 3 different methods za plasma, blood na sijui nini. Results zimeonyesha yuko negative (check second image). The doctor on the second clinic aliblame hio hosy ya kwanza kuwa ametumia outdated device na hao watu wako hapo ni quacks.
So question yangu ni how is this true. Can these gadgets give such different results? Medics wakuje hapa waeleze hii story.
Hio test ya syphilis could be positive kuna second half faint line

Kumaanisha agive up mapema
So how does this make HIV a scam? The fact that you were dealing with fake testing kits and quacks for medical officers does not mean HIV does not exist.
I’m 50/50 kwa sababu sijasoma manual za hii test kit but @ibrahim300 enda any government hospital mpimwe na Elisa test hii hata ukiwa nayo for a week itaonesha. Could be fake or faulty test kit
Hio syphilis imekuwa tested on that tiny trip. Imeonyesha negative
Is the first kit being used kwa hosy sikuhizi? Mimi najua hio test kit ya pili pekee. I have never come across the plastic one
Maisha ni yako kababa.
Sijui how many people know kuna ma-genz softmeat waliambukizwa ukedi wakizaliwa na wamemeza tembe all their life and now they test negative using hizo test kits though bado wako na mdudu
Unaogopa ukedi unaangukiwa na mawe ya maandamano unakufa…Kula kavu kaka
Jacob Zuma style
Its possible to have a false positive and also a false negative. Best bet is for her to go to another different hospital and test for the third time. If negative then ako sawa
Naona Kama Syphilis positive
Issa scam. Mara unaambiwa it takes 10 years To show symptoms mara unaambiwa 3 months
Mtu mzima umesoma, unaamkaje kusema ukimwi ni scam. Kama ni scam si ungewacha kutumia test. AMA uende cbd ukule lanye wote raw utuambie kama ni scam.
Haiya, si kuna watu wanajaribu kufa mapema ![]()
Wewe unasumbua msichana wa wenyewe bure. Just buy a cd mwaga and move on.
Iyo kitu ni negative zote. As a gen Z eater, tulisema condom ni upuzi
Unangoja cancer ikumalize kama Bishop Kiuna?
Very common pale Eltret na Embu.


