Hawa jamaa waliamua kumuua kaka yao kisa mgogoro wa ardhi.
The Akwa Ibom police command have arrested two men believed to be brothers for allegedly killing and beheading their brother over land dispute.
Hawa jamaa waliamua kumuua kaka yao kisa mgogoro wa ardhi.
The Akwa Ibom police command have arrested two men believed to be brothers for allegedly killing and beheading their brother over land dispute.
Wamekaa kibandidu fulani
Mashamba ya ukoo au familia ni shida sana hasa kwa familia zilizojaa kijicho ila kwa wanaoelewana vizuri Hata haisumbui
Hapo ujue kaka yao alikuwa na msimamo na mali za familia, ila kwa ubandidu wao wakaunda jeshi la pamoja kummaliza kaka yao ili waitafune vizuri mali ya urithi.
Hmm! Inatisha…
Inasikitisha.
Hawa ni mabandidu
wapenda mterezo
Aisee hii Wapi mkuu
Inaonekana kaka yao alikuwa na akili na hakutaka mali ipoteee kwa hao viazi
Vichaa hao…wanaonekana si wazima kabisa.
Daa alafu walivyokishika hicho kichwa sasa!!!
Hawana utu
Inasikitisha sana…
Cc: @Mahondaw
Watu wa hivyo kuwaweka gerezani ni kupoteza mda tu.
Nigeria.
Hatari
Kuna sehem moja mkoa wa Morogoro ndugu walikuwa na mgogoro wa mashamba na mali zilizoachwa na wazazi wao basi kaka yao mmoja alikuwa na msimamo sana na akili kuliko watoto wengine so ili kumtuliza walimfanya akawa kichaa akachanganyikiwa had leo
Mbaya sana kwenye familia mkiwa hatuelewani!
Nalog off
Hiyo ndio shida ya kuishi kwa kutegemea mali za familia…
Inasikitisha