Drowning Monday blues

[ATTACH=full]119734[/ATTACH]Drowning Monday blues after a super stressful day. This is one of the best beers you’ll ever have. Meanwhile kuna Mkamba amewekea Mimi kamotee, I’m wifing her soon niachane na ma ratchet, wadau nipeni advice on how to go about this marrying business. In-laws and all.

4 Likes

kuenda kwa kina inlaws sio mchezo .i thank God nishamaliza hio story

1 Like

njeri booty

Check avator ya @Mathaais . That’s how you walk at inlaws place ,confidence !

8 Likes

Befriend her uncles. Mavisits hapa na pale. Some may drift to your side ukiwa pale kwenye hot seat.

Na unakunywa on a monday na hujaoa?? Swali tu.

1 Like

Tulisema mambo ya kuoa bibi mkamba ni tricky.Tumechoka na kusikia vilio ya wanaume hapa juu ya mabibi kunguru.

3 Likes

Mimi White cap mbili zimenitosha.

It’s one of those day man…I haven’t made it a habit.

1 Like

Boss…I thought uko almost 50 and you are here talking about wifing a kao…enyewe uko na mashida

1 Like

Nimeshinda hangdown at work. sasa nimetokea naenda kumesa WD40 nitulize akili.

Sema tu unanyesha :smiley:

3 Likes

Najiskia kukojolea thread.

Swafe! Moderation is the word!

Hehee na tuko wengi raundi hii. Pia mimi hii maisha ya ukapera imenifika koo. Hii kulewa bila mpangilio na kukamuana apa na pale naona siku zake ni kama zimefika kikomo. Sasa ni kutulia na kutunzwa pole pole.

:D:D:D

There’s no standard formulae.

@Ned Stark advise this guy on pros and cons of a kao wife.

Tunga pol.

Kimbia kwa thread ya @Ned Stark ,Jana about kina @Chloe na kabila ingine.

The younger sister is more much more beautiful and sweeter than her. You will realize tis the moment you meet her and forever regret why you didnt meet her before the elder sister. You will live with this pain or fukc her and intensify the pain