Driving practices/superstitions

While driving on A109 frequented by kina Meria Mata the other day, I couldn’t help notice truck drivers wakiweka truck kando, huwa wanakojolea tyres za actross. What is the superstition/science behind this?
Lakini pia kwa base ya magari za mchanga ukikojolea tyre ya lorry ya mwingine utatusiwa na kufukuzwa kama mbwa!
Ukiwa kwa puncture repair hufai kukanyaga tyre…

ukiskiza superstitions za watu wa road-i, utatembea ndethe kwa hiyo a105 ukijiongelesha kama unaokota makaratasi.

ukishikwa na haja ndogo, unakimbia kwa kichaka kuumwa na nyoka ama unakojolea tu tyre yako na unasonga.