Manze niko hapa outskirts ya Isiolo been taking lots of water na hata siende ku urinate
Just this morning drank like two 1.5L bottle…thats 3L…sihisi urine
Was my body dehydrated or huku thats the norm
Uku inakuanga ivo drink more water, come BOMEN nikununulie choma ya mbuzi,though Mimi ni peasant.
Hakuna hata mbicha za kienyeji za isiolo? My fren
Wapi effidense? Ata mbisha ya kiu ya maji?
Maybe it’s because you’re sweating all the water away?
Naruka huko monday pia mimi niwaoshe maitho
Karibu…although napanda juu Sunday