Sasa ulevi naleta hasara… Bravia imepasuka after small bash at home… ni Wapi naweza replace hii screen coz saa hii natumia 21"ya bedroom nimepeleka sitting room na haileti shangwe…ama nitupe hii 40"? Inaniuma sana banawe!
I don’t envy @Luther12 .
ho hoo. mbisha ya kupasuka tu pekee inatosha
pole @uncle nyam. sasa utalipa loan ya kitu hauna tena?
Sasa ni daktari unahitaji au ni ule jamaa wa electronics
Kwani mhindi ameamua kukupa zawadi ya tv scrap
mbisha hekaya
[ATTACH=full]4459[/ATTACH]
[ATTACH=full]4460[/ATTACH]
[ATTACH=full]4461[/ATTACH]
Kuweni serious hii TV haijamaliza ata miezi tisa!
waawa UNCLE pole , 21 INCH MIMI NIKIANGALIA MORE THAN 1 MINS MACHO INAUNGUA
you guys are misusing the village doc.Next if you go to the loo and fail to dunk utakuja hapa kuliza daktari why and you haven ’ t eaten for days?
Haikuwa na warranty?
Nisaidieni majamaa fala flani ameniitisha 25 k kuunda. Hakuna fundi hapa?
@Electronics4u uko Wapi brathe?@Wakanyama huwezi fika bei
I imported direct from China @Electronics4u . Hizo documents sijui zilitupwa Wapi my boy threw it for me in his cargo container so sidhani hapa warranty inaeza saidia
Imeniweka hasira yangu yote. na Ile nyangau ilivunja imesota kama Wakanyama nashindwa nifanye nayo nini.
pia hii inanikalia 21" hivi hivi
My take: don’t take it to Sony service center. Instead it to samsung service center westlands. Ongea poa na huyo techi and you might get a solution.
Thanks, officially ama nibonge na yeye kando?