Can skipping lunch be compared to fasting? Is skipping meals beneficial to the gut?
Uchumi mbaya.
Can skipping lunch be compared to fasting? Is skipping meals beneficial to the gut?
Uchumi mbaya.
No. Lunch skips me.
Lunch yangu huwa ni chai rangi imejazwa viungo na njugu…Kula supper nzito amkia morning run 4:00 am…kitambi haitasumbua
na breakfast?
Hio kukula supper nzito na kuenda straight to bed ndio huleta utambi gadhee
Tea /arrowroots
hiyo ndio routine na kitambi nilmaliza
You live a poor man’s life even though you have money
Imagine kujaza 3000calories (the average calories packed kwa sahani imejazwa vizuri)kwa mwili then going to sleep for 7hours.Basal metabolic rate ya mwanaume ni around 2400calories a day.In those seven hours your body will consume only 800calories.When you wake up and you go for a 5 to 8km run you will probably use 500calories.Upende usipende the remaining 1100calories will be converted to fat and packed comfortably in your soft underbelly and buttocks.
Pole sana Kaka, all will be fine. Ni season tu na itapita.
Wondering wanderer, you have wandered away from OP’s main point…
Agwambo has a point. In some countries dinner is eaten around 3 and 5. Something very light like a fruit can be can be taken at night before going to bed.
Na ndoto za kutisha.
Pissants…
Lunch ni lazima. Afadhali supper ikae.
In Africa this translates to sleeping on a hungry belly…shida mwanangu. Mwafrica ni kukula hadi anashindwa kupumua :D:D
True.
Greek say: Mwiri ndwakaguo na mbaū
:D:D weuh!! heri hio lunch iwe divided into two halves… moja iwe lunch na hiyo nyingine iwe supper.
Kulala na maubao ni makosa kaka, usingizi hukatika saa sita usiku, unatoka bed unaenda kitchen unapika strong tea unaikunywa bila sukari ama escort [unawish kulibaki rice ama ugali ya jana lakini ole wako. Umakaukiwa kweli kweli], unatafuta usingizi haikuji, unafunga macho [hadi unaomba mungu alete usingizi] angalau ulale, unajipata kazi ni kujipendua pendua kwa bed hadi kuna kucha…
resistant starch
Kumbuka Khupipi lazima apokee strokes kendo 30 minutes hivi…hapo calories unachoma pia:D
Ni juu nimeelewa shida ya OP…jamaa ameona saa hii ako kama @kush yule mnono …so anachunguza kama elders wanakula sana
same here…
i can go without breakfast and supper…but lunch sio lazima