DL NOT IN RECORDS

Watu saidieni hapa…trying to renew dl kwa ecitizen but the dl inashow haiko kwa records.
nmetry kupiga number ya hao majamaa haiingiangia.email pia hawajibu.

mtu huchukua hatua gani.
:D:D dl sio ya river road

1 Like

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/dl-on-e-citizen.37628/
Where were you yesterday

3 Likes

thanks man…jana mbandos haikuwa

1 Like

Hope the expiry date is not tomorrow:)

1 Like

Kindly ask @10000 OTHERS wote wanipe likes nikue elder

3 Likes

actually nimajamaa naitisha 600 each i register them kwa ecitizen and renew the dl saa naona pesa ya jaba ikinitoka tu ivo…kama itabidi waende kwa ofisi zao

:D:D:D:D:D…tulia ama uletewe kiti ya SV

Nimekupea, na unajua yangu moja ni mbili za wengine

Enda huduma iwekwe kwa records. newer dls bado haziko ecitizen last time I checked. Lakini za kitambo zinakuwanga.

1 Like

Bora DL iwe original mafake azina bahati round hii ya digital