Dj Stano

Yo, whag’waan jah people.
Nimejaribu kusaka Mix za huyu mzito anaitwa DJ Stano (watu ya metro fm enzi zake mnamjua,right). kama kuna mbirrionaire ama peasant ana mix za huyu kingman awekelee hapa.
Meanwhile…

https://www.youtube.com/watch?v=LEvkgf8m4tE

4 Likes

@demakufu unaitwa

1 Like

Demakufu hafiki ligi ya Stano.

1 Like

Nakuja dec nimwitishe iZo mix anipee in person.

Swafii kaka. Usisahao ku share

i remember him postin them on thayard.net

How i wish i could have enough materials to download them in the school cyber!

Enda simama hapo kwa gate ya KBC umuitishe.

1 Like

Huyo jamaa ni king mazee. Kwanza enzi yake na Jeff mwangemi, reggae ilikuwa mwoto.

2 Likes

Watch KBC and listen to idhaa ya taifa.

i think i saw him on tv last week if not wrong on a live show on kbc with jnr dread

Yap.

Kulikuwa pia na Ras Mwangize kitambo.

1 Like

Mwaka gani elder, labda bado nilikuwa mtoi.

1 Like

Late 90’s alikuwa na Jeff Mwangemi kwa ile show ya reggae ilikuanga thursdays asubuhi.

1 Like

Show huitwa the rave.

1 Like

Jeff naye anahost show ya rhumba siku hizi. Btw mbona show za jeff huwa na fan wengi ivo wa KDF

1 Like

So far niko na mix zake mbili tuu. pure gold I tell you

Hehe hapo sikuwa nakula reggae bado.

2 Likes

jeff hushinda tu kucheka show mzima tangu metro iende i dont think nishai mskia tena

hehe na story za mureithi…hihi. yuko KBC , anahost show ya Rhumba. Tegea yeye sato from 10:00hrs kama unapenda rhumba.