Dikteta kashindwa na kazi au vipi ?

[MEDIA=twitter]1024675728242237440[/MEDIA]

Ingependeza awe mtendaji mkuu chini ya MTU,sasa tumechelewa,tuisome namba pamoja.

Jeshi la mtu mmoja lazima kazi iwe ngumu kwake kwani hana wasaidizi sio kila kitu lazima asome yeye.

:D:D:D bado hajachelewa, aachie ngazi tu wengine wapande, asituzuge…

Mwongo mkubwa hakuna cha mafaili wala daftari.

Achia ngazi mwana wane ili wanaojua wapige mzigo
Nalog off

Mwehu huyooo

Mafile ni totoz

Time will tell…

Cc: @Mahondaw