Didmus Barasa On Education.....Typical Of Kenya Kwanza Ideologues....

[ATTACH=full]496979[/ATTACH]

@FieldMarshal CouchP akuje aone his fellow bonobo. Elimu ndio ufunguo wa maisha and the govt must do its part in providing education to citizens. Development starts with developing the human resource via education.

Dynaste baya Hasora tawara

Huyu kutoka kitambo hajawai kua na kitu ya maana ya kusema.

Ile story yake ya ku shoot mtu ilienda aje ?

Ebu ng’oa hii kitu kabla ule jamaa wa degree akuje meanwhile vaa helmet.

Safi kama pamba.

Noma!

Ile resources hapa kenya tuna allocate kwa education ni wastage. Billions mingi inatengwa kwa ministry ya education lakini hakuna manufaa society inapata, ni better kutuma vijana kwa factories wakishajua kusoma, kuandika na maths, wakafundishwe kuoperate machinery na indians,

We are a goatscaping society, back in the Nyayo error, the roads were so bad in many aspect, and Kenyans used to say that’s holding them back to economic freedom.
Kibaki came in and started road construction, then Uhuru came and put steroids on infrastructure, mwsgo wa maneno. ‘Hatukuli barabara’.
In the same Moi error, the reason why many pepple didn’t have jobs was because they weren’t university graduates, story ilikuwa ‘hii nchi inataka watu wamesoma’ , sasa watu weko na degree chungu mzima, and our leaders are trashing education.

Our problem is the consumer economy while we have nothing to sell.

Huko olposimoru forest mnatuma vijana kwa shamba wakijua kuandika ama you ensure wameingia jeshi, teachers college, kmtc, campus etc?

Last year more than 500 BILLION zilipewa wizara ya elimu.

You think we shuda given it to Arap Mashamba instead?..:D:D

Freedom.

Hakuna kitu unaweza fanya na watu wajinga. you will be ruling over dumb, ill informed, poor, diseased people.

wacha siasa wewe

Education is expensive. The alternative is ujinga aka ignorance. We need doctors engineers teachers foresters, lawyers na kadhalika to run our factories, hospitals, colleges, courts, embassies abroad, dairy farms, ranches etc.

How did you quantify that education has no significant impact on society?

True