DIAMOND BUNGENI KUSHUHUDIA UAPISHO WA BABA LEVO
Mkurugenzi wa Wasafi Media na Mwanamuziki @diamondplatnumz akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari kushuhudia uapisho wa Mbunge Mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando ( @officialbabalevo ) Leo Novemba 11,2025 Jijini Dodoma


