Developers kujeni kiasi

Kuna ile program fulani ya MPesa sana sana hutumika kwa betting sites… Unaweka amout unataka kudeposit alafu itapop up kwa simu iko na io sim card unaweka tu PIN ya MPesa transaction inafanyika… Nani anajua kuunda io??

It’s called STK push. It works with many online platforms, not only betting sites. Nairobi’s City Council is even using it for payment of parking fees nowadays. You can implement it yourself by following M-pesa’s documentation on the same. Where do you intend to use it? I may be able to help.

if you need help get in my inbox

Tembelea Daraja platform and read the documentation

Forrowing

It’s the Daraja API kama venye imesemwa, tembelea developer.safaricom.co.ke kuiona hapo, if possible tafuta mtu anajua kufanya akusaidie ju Kuna venye huanga complex kiasi.

Ingia Inbox …nikufunze stkpush

enda daraja ama ukuje dm, niko na broker yangu direct from mpesa

Mimi hizi vitu complex sipendi, wacha tu niendelee kupasua kuni kwa matanga, unalipwa pap after kazi

ukizijua utakula vizuri nawewe

Hio swali uliza Lenana alumni and network specialist @Sambamba ?

STK push vile umeambiwa hapo juu and it’s very easy to implement. Broke developers wana charge 5K but if you talk to these https://www.vaspro.co/payments.html guys nicely, they’ll doi it for free.

but kama unatumia daraja still uko down

wait is that another broker?