Amemwaga unga
[ATTACH=full]87636[/ATTACH]
Apotee kama yule jamaa wa mat mwenye alienda mars
Kutengeneza hiyo gari hapo ni bei ya probox mzima.
si muna chuki na dereva wa probox
Bumper - 200k
Grill- 65k
Headlamps- 40k
Bonnet - 80k
Hizo repairs na zingine
hehehe…nothing personal lakini kusema ukweli probox iko category ya tools sio gari.
and unfortunately, insurance will know hukuwa unadrive so unauthorised driver manenos…
run for the hills…
Hiyo ni salary yake ya mwaka asuming jamaa analipwa 30 k
Hehe Jakenya buda hauna bahat
Haina was, insurance iko
Crumple zone at work
…Na thate (30%) of total cost ni Labour fees.
What brought about the argument with the wall?
Phombe
@Luther12 airbags hureplasiwa aje na hucost how much? I believe they are universal au sio
Za Toyota unaweza replace hiyo cover ya mbele yote. hizo cover za kutoka Dubai zinakuja nayo. But airbag pekee sijui kama ikitoka inaweza rudi, but wacha tungoje @Luther12 na @introvert.
Airbag hakunaga kurudi. Ikitoka ,either ikatwe then hapo imetokea isealiwe ama kama ni kwa steering wheel, unareplace hiyo holder ya steering yote. Hiyo place ya horni that is. Kwa toyota, huwezi pata ati original, unaenda inda ama kirinyaga wanakutafutia na mimi wakati toyota ya baby mama iliniangusha walinilipisha 8k ya steering pekee.
I once crashed my Beamer kama tu huyo msee, haikunicost more than 800k pale Bavaria
hii bangi ya asubuhi muwache. pia muniwache ninurse hangover yangu polepole, kumbaff :D:D:D:D
…hehehe, na mkiambiwa hiyo ni cost ya Probox mnakasirika.