Formatted it with Windows 10. Updating drivers online via device manager doesn’t work. Finally installed it’s Maxon video drivers from Dell’s website but DXDiag shows dedicated video memory is zero. Now it still behaves as though there aren’t any video drivers.
Any solution will be greatly appreciated.
[ATTACH=full]321930[/ATTACH]
Hizo blade husumbua sana bila Linux ama MS Server. Kwa site ya dell inakubalika kuweka windows 10 kwa hiyo blade? Kama haijakubalika, jaribu kutumia pcie graphics card pamoja na driver yake (rather than onboard graphic).
Am no expert here, but which CPU are you running?.. does it have integrated video memory?.. or is there some kind of onboard graphics chip/card or something to that effect?..
That said, sikujua maxon wanaunda graphic drivers… wewe ni mtu ya industry gani?.. as in what are you intending to use it for?..
Most likely matrox
Hakuna option ya Windows 10. Niliskia inafaa kufanya na za Windows Server 2012 R2. Kwanza juu imeitikia kuinstall.
Expansion slots zake ni x4 na x8. Hizi video cards hazipatikani.
Kumbe unakuwaga dba hivi? ![]()
Si uko mbele sana [SIZE=1]financially[/SIZE].
Dual Xeon na hazinanga intergrated graphics. Ni ya board na ni Matrox. Hizo ndio zinaingia na hazifanyi.
It’s Matrox, sorry.
Nafanya video editing. Machine inabehave vile yubehave kama hujaseti video drivers.
Kuna geforce 710 iko na x8 na 2gb video…powerful enough. Itakubaliana win 10
away from servers… every Dell computer i have used, had weird stuff kwa registry.
Any windows update made changes kwa registry files.