Deadliest Roads Congo Kivu

I love these documentaries. Siwezi miss hata moja. Congo the richest country in Africa with resources but with shittiest roads. African leaders ni maumbwa sana. Why not invest in infrastructure?

https://www.youtube.com/watch?v=yJ7xGYBI6PQ

At times when I watch this makes me feel uhuru leadership ni afadhali kidogo

Congo is the wealthiest in terms of resources but has the poorest people in the world. It defeats all reason.

I have watched that one and other shitty roads of Senegal, Gambia, Sierra Leone. Kenya is light years ahead.

Wakijengewa mabarabara wataaanza kunungunika hazitoshi. Zikiongezwa, watasema hakuna njia za pikipiki,zikiwekwa watasema ni safu mbili tu lazima iwe safu kama 6.
Baadaye wakiuwana barabarani kwa sababu ya kupeleka magari kama malimbukeni watasema serikali haifanyi kazi yao kuwalinda barabarani.

Ngoja ngoja

Subra

Naelezea kenya kwa kikamilifu.
… tafakari hayo.

:D:DHehe I like how amemaliza na preacher telling people that bad spirits are the cause of the bad roads