Ni kama hau watu huuza hizo madawa wamefanya ile kitu.
Mende wamekuwa wengi saidi…
Then mchana hao wauzaji wanashida maraondiii waki shout dawa ya mende kunguni na panya…
Wasimwage makunguni walai…no wonder estate management ina push for fumigation
Ruto anahitaji dawa ya Mede
Greenleaf ya sikuizi ni fake, I’ve noticed that too
Wewe na hizo mende mnafaa fumigation, scums of the earth
Tusiwai patana
dawa origi ya mende ni baking kwa diced onions. the fuckers can’t survive yeast it explodes their stomachs open, then unaseal chini ya mlango mende zisitoke kwa majirani kuingia kwako
stress free
Dawa ni usafi,anzia hapo.
Mende ni protein swafi
Ni wale wanaume unafyeka wanakuletea kunguni
Ngiite…mmoja wao alikuwa baba yako…
Hio ndio matokeo ya kujitoza kwenye kinyesi badala ya kinembe
Do you mean baking soda,tafadhali na sio u lazy ya ku google…diced onion inakaa aje
Baking powder ama baking soda?
Ya kupika mandaz
very fucking effective
baking powder ya mandaas. mix with onion sliced into small pieces
Munaishi wapi na aje?
You know you’re living in a low income neighborhood when you hear “dawa ya mende, kunguni na panya kwa nyumba yako” on loud speakers.
Watakuja kwenu wazamwage ndio utajua sio about neighbourhood.
Juzi tu pale Rukuna wajinga kutoka KARLO walikuja wakawachilia mosquitoes they had formed through interbreeding…si watu wamekulwa,mosquito net biz imeshika
I am inclined to believe you hata kama hauna a proper degree. My forebearers at MI6 did worse against the Kikuyus. Walirusha biologic bombs in form of jiggers banae. Shiny eyes bado wanakipata mpaka wa leo.