Hizo kunguni ndio zinalipuka kama baruti
Burn the house next because they are still there
Huyu alifika mwisho
Kuna fungus wanapewa, wanabebea watoto nyumbani, wanakula wote na wanakauka from inside
Hii ni loss. Ange fumigate with a professional company
Unawalipa 150 and expect them to reason in those lines?
Dawa ya kunguni ni Diatomaceous Earth. Ama doom ya powder.
The aim is to spread it everywhere, so it coats their whole bodies and all their eggs. Na wakienda kwa nest wanaenda nayo pia. Zitakufa terrible deaths trust me
boric acid humaliza
Ata uchome vitu bado zitarudi. Option ni kuuza ploti na uhame bila chochote. Utoe hadi nguo utoke hiyo ploti uchi
Mwenye atanunua sio mtu ?
Na unyoe kipara
Dawa ya kunguni ni maji Moto. Just boil hot water and spread to the affected areas. Hizo methods nyingine do not work.
Chomba nyumba
Try usafi
Laana huachinanwa bro. Kunguni huwa ni laana. They are a location specific witchcraft, unlike some others types which are bloodline specific. Lazima unachie mtu au zikufuate kwenye utahamia.
That’s why people drop coins on the drop for you to pick up. Ukichukua unabeba ile laana ameacha. Witchcraft has to be passed on, it cannot be eliiminated. Since it’s energy, and energy can only be shifted but not destroyed
Dumb Bonobos way of thinking.
Even dumber than the last statement.
There was a bedbugs infestation all over Europe including in public transport and hotels so what witch is that powerful?
Have you ever read John 3:16? Try it before going to wangapi threads.

The curses of the murdered billions around the world
We should watch out for witches being killed at the stake in Europe