Wazeiya saidieni jirani yangu ako na invasion ya kunguni (bedbugs) and i think soon ntazipata kwangu[ATTACH=full]22183[/ATTACH]
rats
Nenda kwa hardware, nunua gladiator Ile ya 1litre,weka kwa maji, Osha nayo nyumba, funga nyumba, enda lala kwa guest, rudi Kesho, nyumba itakuwa chonjo
si rats pia ni shida
You have only one optionâŚmove out, once they invade your house Kwisha wewe
how does it work
If there is one thing I fear, its this thingâŚand spiders.
unless nichome kila kituâŚmoving out si ntamove out nazo
kunguni ni nomaâŚthey are a real embarrassmentâŚ
Declare a cold war on your neighbour, put up a fence, define boundariesâŚdo not visit each other.
If those things get to you wewe kwisha
I suspect that these niccurs advertsing for âDawa ya Kunguni, Dawa ya Kunguni! Mariza kunduni wote reo!â in loud speakers on top of Proboxes, going round in Eastlando estates could be the same guys spreading these pests.:mad:
soma mbiology notes: food web / chain:)
soap water alafu umwagilie apple cider vinegar zitaisha
Its hard coz ata kwa matatu ziko na ukishabeba moja ni hivo
TrueâŚThey could be borrowing ideas from the makers of computer antiviruses
Sasa mpaka kwa matress itakauka aje when u dont want any neighbour to know ur struggles
^^^itabidi uoshe kila kitu soap humaliza eggs ndo zisireproduce
Best solution so far @Pussi Signal
na pia kama unakunga na mtoi ako boarding school pitisha yeye kwa cattle dip/weka quarantine akikuja home
:D:D:D:D:D
I shouldnât be laughing