Dad's Freelander

Yesterday I had visited my parents and dad asked me to run an errand for him. Huyo mimi nimechukua his car key and off I went… somewhere down the road im cruising at about 50 kph… a boy crosses the road from nowhere! Im about 2-4 metres away na kihii ndio hii kwa bullbar before I even notice him!! Ata sahii im still traumatized

sielewi

Uliuwa waaaa

But forget and move on

Alikufa?

So?

the guilty haunts u to the graveside…buda doesnt matter hata kama kipii alikuwa makosa…some shit z just hard to live with

???

Pole Saana, Accidents are inevitable. Hope the kihii didn’t pass on.

fafanua bana…

ukiona danger ahead na uko na gari in a fast speed first option ni kudirect gari kwenye hakuna danger then braking

pole sana kama umeumiza Yut wa wenyewe

chances are you were absent minded nigga

hawa ni wale insha na compo walikuwa wanapewa 2/40…ya ink tu
Buda fafanua hii story…ama uweke sketch

1 Like

Sawa boss.

We now know your dad drives a freelander.

Alafu hii >>> a boy
crosses the road from nowhere!<< sielewi

Dads freelander! >>>> Fanya bidii kijana ununue yako uwache kuendesha gari la baba! And are you from the lake side?

your title should be fatal accident- traumatizing

usijali… you will feel better with time…been there too…jamaa wa motorbike alikua ana overlap…mimi huyo na trailer juu yake…quite a scene…

1 Like

Pole boss…achana na wale hawaelewi.

Mbomb zile punchline zako zilienda wapi?

@uwesmake I have changed uncle

We need those punchlines

Fafanua ni kihii aina gani,from the lake side ?