Wakuu mpo lakini? Naona tumekuwa wakimbizi tumekimbilia kwa jirani!
Majirani tunaomba mtupokee kwa mikino yenu miwili, huko tulikotoka siyo swari kabisa!
Wapi humble African?
Wapi Da 'Vinci?
Wapi kiranga?
Wapi mshana Jr?
Wapo n.k???

Watoto wa uswahilini wanakwambia"kazi kazi"
Hahah aiseee!
Ya miguna miguna hatimae yametukuta sisi
Humble African yeye kahamia Facebook siku hizi. Aliyokua anaiponda zamani.
Maisha yamekuwa ya upweke sana siku hizi bila JF.
Tupo pamoja
Kwetu pazuri
Ama Mbuzi kalamba Reli