When Ruto alijitokeza kusema the 2 dams stolen money was not 21 billion but 7 billion watu walimshangaa. .
Now this is the second time he is suffering from foot in mouth.
Nilikuwa nimeanza kupatwa na shaka wakati pesa ya mahindi iliisha tu hivyo bila mahindi ya wakulima kununuliwa (I remember then posting here wakuza mahindi wasitusumbue tena) but when tuliambiwa pesa ya dam si 21 ni seven nikasema ah ah.
I agree. Ruto always wants to be the center of attention. Whoever advised him on the latest prank f*ucked up big time. Alafu the timing is bad. Ingekuwa 2021 angepata sympathy votes. But saa hii ata kipii kinajua the death threat was a hoax.