crime section

@ol monk tafadhali tengeza kitengo mpya ya crime, the general thread is getting muddled up

5 Likes

kwani wewe ni mhusika shupavu na unaona hutajui ama nini? kawaida, ulafi, ngono na umaarufu (is that the kiswahili word for power?) ndiyo vitu vitatu ambavyo hutawala ulimwengu. Uharibibifu ni sehemu ndogo tu ya ulafi na kwa hivyo haufai kutengewa sehemu yake (siyo nyeti :D:D)

infact more categories / thread are needed

1 Like

@Mundu Mulosi saidia sisi hapa

I think the “BEWARE” section is appropriate for this…

admin atuwekee quick posting hapo kwa all threads