CRB

Niko na deni ya 8890 ya M-Shwari sasa siku hizi tudame twa CBA tunashindaga kunipigia na jana kengine kamenicall kakasema wananipeleka CRB next week nisipolipa mimi nikakauliza wakinipeleka nani atawalipa hiyo pesa nikiamua sitawahi kopa pesa tena kwa bank na nikae ngumu na wakenya wengine 20k pia wakatae na deni itakuaje?? kakacheka kakaniambia nilipe hata kama ni mia tano wasongeshe na mwezi… sasa nimelipa 400 nangoja vile watanipigia kesho waniambie na mimi pia niliskia sauti ni tamu sijui kutaendaje…!!!
hapa mnaona nifanye aje??

NB: Matusi will be met with matusi

utajua haujui

kwani unafanya huko brathe unikwamue? hii pesa hata nilikopa nikanunulia momo flani jameson na ikaninyima… naskiaga uchungu kulipa

CRB haina ukuta wala ufunguo wala dengu. It is a state not a place, hehe

they cannot harm you in any way but ukiwekwa huko ndio utajua ulifanya blanda kutolipa.but unaweza kwara na uamue vile umesema never ever kopa pesa.

All they need is ur loan account to be active…lipa pole pole. Ikikuwa dormant utaitana. Mobile phone companies have listed people with 0.01 outstanding mshwari balances…

leta ID namba yako nikuambie kama uko ndani ya CRB

25467865

uko listed na metropol . pesa ya aibu saidi .

:D:D:D

Sema jina langu nikuamini

whether uniamini or not sioni vile itaongeza sufuria kwa ugali yangu .

[ATTACH=full]132949[/ATTACH]

jen niaje

[ATTACH=full]132950[/ATTACH]

Poa sana Uwes

Though it looks like a phone no. that number still qualifies to be an ID No. for a person born in 1987/8 or thereabout :smiley:

at least unasaidia hapa sio kama ngamia zengine hapa

kama hata tudame twa m-pesa sipeagi ID number wewe nitakupea aje?? nkt

Wewe nimujinger

ni ID sio simu namba wewe ngombe