Cost of dental services in Kenya

What’s your preferred dental clinic and how much are dental procedures like fillings, root canals, teeth replacement etc? Dental services are becoming unbearable so inform other fellas about a good one you know of. Thanks.

Tooth paste and tooth brush are cheaper if used well and frequently. Me lazima nisugue meno usiku before niingie bed na asubuhi. I also use mouthwash here and there to kill germs. I also used dental floss to remove nyama katikati ya meno kwenye toothpick ama toothbrush hifikii. Sijawai kuwa na shida ya meno. All the best though.

Fluorosis through maji ya kule unaishi or grew up sio jokes bro, hauwezi epuka cavities. Although good dental hygiene is good.

Oh ok…yeah nimesikia watu wameishi kwa maji ya chumvi. Naivasha and the surrounding areas nimeona hiyo shida ya brown teeth na cavities i guess.

Enda Molars pale Electricity house.

genetics pia inaweza pia mtu shida ya meno

Village dentist @Wanaruona hapa iko customer… sorry client…[SIZE=1]by the way mbona root canal iko uchungu namna hio,I was shedding tears from one eye like a burukenge.[/SIZE]

Probably was done by a novice… lakini si mtu husema aongeze sindano

The pain was after the procedure,later learnt that one root didn’t " die" so they killed it during the second visit.

Pole jombaa. Ungesema unaskia uchungu waongezee anaesthesia kwa hio canal.

I also took someone to molars kilimani and she liked their services

Their services are top notch. A little costly but worth it.

Hapo kwa replacement kuja nikufanyie bei ya kijiji. PFM crown 7k usilie sana. 3 unit bridge 21k.

Unafanya filling na ngapi? Naskia sensitivity kwa jino yangu moja.

Hiyo kuja tuweke crown. Filling huwa ina leak with time.

Meno lazima ilete problems as you age, get used. Kwanza gum problems which eventually lead to loss of teeth. The dentists will tell you it is treatable by cleaning, but that cleaning purely a mechanical procedure, nothing special

Crown ndio inakuja na mangapi alafu clinic iko wapi niko na serious problems but mabei ndio uleta shida

@Wanaruona

Tafuta ile dispensary inaitwa Crescent,thank me later. Kuna moja ngara ,ingine pangani

Crown nafanyia wewe 7k. Kama uko na mapengo hio ni 3 unit bridge. 21k bei ya kijiji.