The covid-19 ,will forever haunt us .
Kuna time it had created fear n depression, money seemed useless.
Kuna time I watched France 24 t.v channel nikaona design watu wanakufa pale Italy na equado appetite ya food ikapotea, if u asked me Mimi nilikuwa naona huu NI mwisho wetu binadamu …
Been a regular in cbd Nairobi , I paused …every Monday hungenikosa hapo nyamakima au river road nikinunua accessories … I remember Kuna that Monday a week after Corona started in wuhan , nilikaa hapo kwa ile statue ya tom Mboya imevunjika side moja , rumours are ni watu was gormahia walifanya hiyo ujinga… Nikakula yengs na macho for kitu 1hr before boarding hizo nganya huwa hapo za Juja na Thika, I always smell something fishy mbona Kenya mpya ifukuzwe hapo CBD hizi ma3 ziwachwe , anyway there is nothing I can do …
5 days am having this flu like symptoms, dry throat, weak joints n dizziness , 1st day I take some lemmon n hot water … It gets worse … Kucheki kwa t.v naona tu watu wanakufa kukufa pale China m like nyie nidathira na korona …
Next day I go to that quack chemist , I trust his medicine coz Kuna time I had phneumonia na dawa ya 140/= iliniponya… His prescription is some liquid dawa iko kwa kachupa, inakaa ile watoto hupewa (menthol hivi) na some pills … Dawa natafuna na kumeza for 4 days , no change … It’s then I read somewhere online if u drink warm water consecutively for 1 week the condition may get better … Kea nyumba Sina thermos … I get one n prescribe myself hot water … After 3 days I start getting better … I continue for 2 weeks , by the time partial lockdown itangazwe m already better …
My point is , this disease entered Kenya long time ago, but our immunity was somehow strong or either the virus couldn’t survive in this Africa climate… M convinced hiyo ilikuwa Corona au NI homa ngani hiyo huponywa na maji Moto … ?