Congo gold ....

[B]true story ya sept 2019

pwagu kapata pwaguzi

it all began like any other day , for an ordinary nairobian like me… though i live in thika most of the times you will find me either in luthuli au nyamakima nikinunua cheap electronics au unipate sides za riverlorry nikibargain phone accessories .
so its a monday , most mondays business yangu huwa chini so i opt to go to town.
i either do window shopping or purchase more accessories for my shop .
napanda mat ya mbao hadi juja , kufika juja napanda hizo ma3 za hapo .i prefer them coz hazitupi mtu kahawa au pangani , hizi huingia cbd ndani hadi pale tom mboya making easy for me to access river road and nyamakima , rather than kupanda kenya mpya initupe na huko fire station .
kufika tao , the big screen hapo tom mboya karibu na archives always amaze me i always find myself seating on those metal rails watching adverts as i kula the yelo yelos passing by na macho .
its while am seating there an Uber drops two men who by the look of things wanakaa british ivi , yani ni wazunye plus wako na macamera and are busy taking cameras , they walk past me before vanishing into the streets of narobi .
suddenly the uber driver moves out of the car , he stands near the door , he looks north -south, east -west . and from his facial expression its like he is looking for the two wazungus that just left .

our eyes meet , and its if am some sort of relieve to him . he closes the uber door then walks to the direction i am . within a short tiome he has sat besides me and is on phone with someone i dont know who .
he has a kamba accent as i can tell from the conversation on the phone .
"ayee kaseee mwana ooooo, nyie ndiese kiii ni kyao " , he continues lamenting on he phone .
“mimi nashangaa ni nini hii wamewacha kwa gari ?”, “inaweza kuwa ni nini ?” , “imepakiwa vizuri kwa karatasi na ni unga unga ina shine , kaseee hii inaweza kuwa nini ?”

his conversation with the unknown caller catches my attention when he hangs up .
mimi na kiherehere yangu i find maself asking him.
“kwani ni nini hio imewachwa ?” i ask him …umewai tembelewa na shetani uki mind biz zako, ngoja usikie …
"buroo mimi nashtuka sana ni nini hiii wamewacha "he checks right left chapchap then dips his hand in the shirt pocket and flashes me the view of some dust in a small clear plastic bag.
"hebu nione " i persist , he gives me the small package to check , n since mimi ni msee wa youtube , i can tell this is some mineral dust from congo or zaire.
he quickly takes away the small bag from me and starts lamenting .
"sasa burooo, mimi nashangaa sanaaa ni nini hii , mimi mtu akanipea elfu tano nampaa hii kamuzigo.
i think fast then
“brathee hiyo labda ni dust ile ya wahindi wakichomwaaa,”,…
he looks puzzled “aaaah aaaah burooo ,aki mimi nayangaaaa waaaaah”
he returns the kabag back to his shirt pocket looking more confused …
its then that i reverse the phsychology n play with his mind.
“mmmh niko na 3500/=, take it or leave it ,coz hiyo kitu sio ya maana anyway " i tell him.
in my mind am sure this is gold dust from congo , and i have heard it can fetch upto 500k or 1m … 'nakai ciyakorire wacu mugunda ’
we bargain n i add 200 bob on top .
he hands me the merchandise quickly and tells me to hide it as i hand him the 3800/= bob , kwanza hizi noti mpya mpya za green na blue .
he then walks away and i see him drive away in the uber am too lazy to take the number plates , bearing in mind i will be wealthy soon , wale madame hujifanya hard to get watanionea viusasa, kwanza naomi yule wa KMTC, atajua mimini kabogo tunachezanga golf pale juja golf club .
chapchap nashika boda ya nduthi hadi gikomba kwa jamaa mmoja arif yangu huwa anauza mapatco na mablings anaitwa saimoooo.
m sure saimoo must know blackmarket ya hizi vitu , coz kuna time nilisikia akijisifu vile waliuza pembe ya ndovu kwa mhindi fulani hapo tea room.
anyway story ya pembe tukanyangie for now …
kufika naita saimoo kamukutano ka kando afta nishamnunulia ka pork quota na ki coke kile kikumbwa pale mwaura pork city.
i tell him vile nimechanua mkao flani wa uber , n hand him the merchandise . he laughs so hard hadi customer wengine pale porkcity wanashidwa ni joke ngani hizo na crack .
he then shouts " ARIFF UMEOSHWA HII NI KUFULI YA TRI-CIRCLE IMESIAGWA SIAGWA NA GRINDER IKAONGEZWA MCHANGA ILE YA RED YA GATUNDU , HUJUI IYO SCAM ?”
WASEE niliamkia mama lucy hospital nikiongezwa maji .

share to 3 groups …let them know macharia yupo tu na aliwacha miatarati[/B]

[ATTACH=full]262937[/ATTACH]

You’ve posted twice … this shows that hujaacha “miatarati”…