@Col Kakende

Pole ndugu kwa masaibu yaliyo kukumba kwa kupata kibiritingoma cha mke.(dry fried by Belgium) pili, pole kwa mkeo wa pili. (dry fried by mombasa). Lakini baada ya kutusimulia hekaya yako, jambo moja lanisumbua sana na nina swali, umeshawai fikiria kwenda kufanya wanao kipimo cha DNA ili kudhibitisha wewe ndiye baba wa kibiologia?
Nina hofu ya kwamba waweza kua umehadaiwa na hayawani huyo. Ingekua mimi ningefanya hivyo ingawaje ni uchungu mno, ningependa kujua. Lakini, matokeo yoyote hayatabadilisha upendo wangu kama mzazi
Pole tena, nakuombea utulivu wa moyo ndugu[ATTACH=full]7048[/ATTACH]

Why i’m i laughing? Some things are better left the way they are. He has already invested so much in the said kids ama unataka ajinyonge?

1 Like

Aezi jinyonga!

you have just planted a thought in his mind that will nag him

:(Indeed

There’s an inert need by any man to know if he’s the biological father of the kids he’s nurturing… Thats why bukusus allegedly gave the newborn the dick of the alleged father to briefly lick . If he’s not the father, the infant supposedly dies… Many bizarre rituals were practiced by many tribes long ago
@ekamsweu, @Mundu Mulosi, please verify

Awapende tena Zaidi. Sisi sote ni wanawe Adamu na Hawa

Yaani wa Bukusu wanapeangwa blow job na newborns:eek::eek::eek:?

1 Like

Acha ufala:D:D:D

2 Likes

hehehe am sure ataenda sasa hosi kuangalia

Huh??

DNA the undoing of the harlot wife

@pamba na @Mundu Mulosi,kujeni msikie vile huyu maragoli anaharibia wabukusu jina

Wazazi waanzilishi wa bin Adam. Tulivyofunzwa na ma missionari na sheikh wetu… Kweli dunia yanikanganya

If we are sons and daughters of adam and eve, is the world not filled with incest crazed lunatics running after their sisters butt while a sister fucks up to 10 brothers. Tafakari hayo kisha niambie kama utasoma iyo kitabu kuu ya hekaya!

@Col Kakende …Anybody can be a father (even one minute men) but it takes a real man to be a daddy. Dont let that seed of doubt germinate in you. The kids call u daddy because thats what you are to them.
Let that sink deep.

6 Likes

La. usijaribu kukosoa, kufikiria, au hata kucheka unaposoma hicho kitabu… Lakini, tafadhali tutakabili huu mjadala kwenye thredi ingine. ili tuwache kungoa traini na kuutupa nje ya barara yake. Yaani kuderaili[ATTACH=full]7050[/ATTACH]

Thats not funny at all. You think i havent done that ?? Company policy ya medical cover lazma employees and their family wafanyiwe peternity test ndio waingizwe kwenye system… These coming from you ? I never expected… pick something else to mock around with… @uncle nyam …

Nakubaliana nawe asilimia Mia kwa mia

1 Like

Samahani shoga wangu. Sikuwa na nia mbaya ndugu ila ni wazo lililopita akilini. Sijashuku ushupavu wako kwa uzaaji bali nilikuwa namaanisha ingekua ni mimi, ningependa kujua… Kwa vile ulienda ukadhibitisha yaonyesha wakubaliana na wazo langu. Tukio lako linistua mno hadi nikaanza kujishuku pia. Samahani wajua wewe ni swahiba wangu

1 Like