Club Poa CBD

Kuna mulla imeingia leo na nawaza kufika tao CBD nirudishie mwili shukrani. Any suggestions?

sassuolo ni poa.

Kaa nyumbani kiyana… Lest uwe victim wa mchele squad, kesho utupatie hekaya ya vile ulilishwa mchele ukajipata umevaa condom na kilakitu kejani gone.

Siendi kutafuta wasichana jamaa. I just need a place nitakunywa mbili ama tatu nirudi kejani. And who takes strangers to his house in this day and age??

Mojos Nairobi, just tell them you are of the Hekayas brigade. Utatambulika.

The one next to Tribeka right?

Yeah that one.

Inakuwanga na activity on Mondays? Juu nadai place nikitulia nitaona wasee/ball highlights nikisafisha macho and good music.

SJ

:D:D:D

Of course Mkubwa, ulizia weider anaitwa Morris mwambie mzito ndio amekutuma.

Kuna club ingine apo tao inaitwa seven karibu na ile bar ya ma sponsor

Kwenda

Dunia ni kubwa CBD ya town gani?

M2random unakunywa 'mbili/tatu" end month? Una shida

Si u save that money!

I need to blow some steam and clear my mind. I have been working around the clock na pesa ya chupa nne haiwezi nisotesha.

Momo Kubaffu, kiherehere ndio zako. Mwenye bar unataka akule nini?

maskini akipata…

Sasa utaambia nani among the staff?

Mojo’s nilipata kunabore. Niko Tribeca ni Karaoke night. Club is full though walevi wanabore na story za ufala. Kuna jibaba limekam kunisumbua…kwani kuna mafag huku:eek:…how the fuck can a grown man kam ashike mtu waist halafu aniulize nakunywa drink gani…kimzee cha over 40 years…people are twisted. Na anaona Niko na drinks zangu…mpaka madame hapo wakashangaa. I am really embarrassed right now