club asylum

this is a new joint on baricho road the interior is awesome but was shocked to find it empty last week i paid it a visit lakini nadhani ni vile wanauza beer 250/- but the pool tables are awesome na mawaitress hawajachapa sana unaeza kamua DFHKWBLBH.
has anyone been there??

debe inashika ama ni upus??

mimi sio mtu ngoma sana mimi ni mtu pombe na pool na hizo zilikua lakini pia kulikua na kelele pia

weka picha

TUPEE PICHA SASA :slight_smile:

picha ndio hii[ATTACH=full]1087[/ATTACH] [ATTACH=full]1088[/ATTACH] [ATTACH=full]1089[/ATTACH]

the club has awesome waitresses lakini haijai naona huko ndio nitaendaga before mafisi wafike huko

1 Like

salama sana fafa!! uko tunafika weekend

Weka picha ya waiter

safi, nitaenda nuchukue namba ya waiter kabla hizi fisi zingine hazija kojolea chakula

Nani anadai beer game hii weekendi. Hizo pool ziko on point

why is it that people feel the need to label everything ? Mpaka pool table? Si tunaona no pool table? Kwani wanadhani wasipo label tutadhania ni automated tampon remover ama?

1 Like

kwani haujawai skia kitu inaitwa branding…

Kama ingekuwa ni logo ya klabu kwa pool table, sawa. Lakini wameandika jina “pool table” kwa… pool table!

Still don’t get it… but I’ll let it slide.