Almost bought this Galaxy A6+ until I saw the software lacked the LTE option in the 3G/2G network settings.
If you aren’t careful, you’ll end up blaming yourself for not being too observant.
[ATTACH=full]234652[/ATTACH]
Wah si uko na bahati.
Anyway si clone ni refurbish ama generic.
Ni ya ma network za majuu na wanatumia wcdma you unlock inapoteza bands zingine.
Majuu kununua phone si noma noma ni operater.
mimi simu nanunua SAFARICOM shop pekee
Bure sana
Not clone. …Mlst probably generic
Ebu kuja unichanue… Nadai kushika simu… Nisipatane na hii clone/generic
Uliconfirm IMEI?