Clarification

So did the story of the smartly dressed pickpockets at knh first appear here or on facebook?

www.nairobiwire.com/2015/07/commuter-beware-pickpockets-at-the-knh-bus-stop-exposed-photos.html

on Facebook. kwani Talkers cant copy paste?

these motherfuckers nimepanda nao gari…

ni wajanja wanaingia gari alafu wanaanza kuambia watu ati ooh mapolisi fungeni mshipi… during iyo time ya kufunga mshipi ndio wanakuconfuse alafu wanakutoka vitu… soo ukiwa kwa matt be vigilant… na watu wakianza kukuambia mambo ya mshipi waambie unataka kushikwa… wanakuanga na coordination na concodi na pia driver

Nairobi dijawahi ona mat inasimamishwa karau aimgie ndani kuangalia mshipi. I usually ignore such n tell them fine ya mshipi ni 500

Nimeuliza where it first appeared, not whether talkers can copy paste

1 Like

First saw it on Twitter before it landed here. Ktalkers wako all over kwa different forums.

1 Like

Ata mimi nlipatana nao survey nikipanda mat lakini hao hawakuwa smartly dressed. Walijaribu njia zote kunipora wakashindwa alafu wakishuka mat wananigotea ety kijana uko rada :mad: Lakini walipona mbuda mjamo

3 Likes

Reread my reply

:D:D:D

1 Like

utaibiwaje kitu hauna???

Walijaribu kunitoka tenje nikakwama nayo

tenje tenje real au palito? some time back nlisanywa nne in a cngle yr… sema kutajirisha wanaume. .

Nangoja mtu wa matenje acomment