Christmas Imeanza

Just finished sanding my tires so that my car will ride smoother on the Mombasa-Malindi road and honestly I kind of love this look. Recommend good hotels at Malindi
[ATTACH=full]276968[/ATTACH]

Hii ukishikwa na police utakuliwa ushangae my friend!

Manze no traction or friction bana, utateleza uingie mtoni

meanwhile
Gucci

https://www.youtube.com/watch?v=yuBbGyWSc-c

syokau

https://www.youtube.com/watch?v=dUW5dIbMhpg

Padi

https://www.youtube.com/watch?v=ylqyEU6tEks

Umeamua 2020 ikupate six feet under?

Umeamua kutafta kifo na ubaya

Kumbe ni pesa ya mafuta hauna enyewe we slide pole pole kwa hio msa mld road na usiumize watu

Weka gari juu ya maganda ya ndizi and slide down to the coast.

:D:D:D

Mutyambai Likes this.

Umeamua za formula 1… wacha kunyeshe utaimba

Si crik

[SIZE=7]RIP[/SIZE]

no way is this real