Childhood crush

Some music channel O played zilikuwa wazimu, saa hizo niko 14/15 year old, nilikuwa nme fall na Toni Braxton mbaya sana.

Nimeskiza hii ngoma nkaskia fiti…

Those eyes (ndio tulikuwa tunaandikia dem poem hakuna unamsho akona sparkling eyes kama diamond referring to za Braxton…)

5 Likes


Amechapa but hizo days nilikua nambao nikiona vidi zake

5 Likes

Sema ulinyonga na channel o

10 Likes

…kulikuwa na videos zingine x-rated walai. Those days…mungu wangu!! (shaking my head). Good old days.

Nmepatana na hii hapa down, again nkaskia fiti…what happened to Producers wa ngoma? siku hiz wanatoa rubbish.

5 Likes

Hakuna tafauti Yako na Alejandro @Benn_Dover

5 Likes

Hehe, Kaka Bwaku wewe hukipita hio stage. Kuna video ilikuwa inanimaliza na najaribu kuileta kwa mesho haikuji but sa hii ka hamster kwa kichwa kanakimbia kweli kweli…nitakumbuka tu

Kulikuwa na wasupa kuruka kwa pool dancing…alafu those days msee hakuwa anajua maneno ya haga ni sura tu

Art Loop GIF by Laurène Boglio

1 Like

Hio ni porn walai

Nakumbuka nikiwa primary, tunadropiwa home, nimekimbia kufungua MTV kusafisha macho, for some reason Aaliah alikuwa crush yangu mbaya sana, nilikuwa hadi na magazine pull out yake nilikuwa nimeweka chini ya bed.

Hiyo plane crush yake ilikuwa my first heart brake, ilinikaza roho, and my journey into STOIC believes started at that young age.

This new generation wa kunyonga at a click of a button mpaka wana fry dopamine receptors never understood the challenge of scoring a good wank.

8 Likes

Ilikuwa ya drums ama disc?

3 Likes

@Yuletapeli, huezi ongelea Toni Braxton bila kutaja hii ngoma. Hii nilikuanga naicheki NTV kwa The Beat. Good ol times.

Niiiiice!!!

12am walikuwa wanatuosha mecho proper… Xrated music, these days media ni ushoga tupu

4 Likes

Pia ma saa sita mchana…

Kumbe degenerates tulikuwa wengi.

4 Likes

Her songs are wonderful

1 Like

Shemar Moore must have had a blast in his youth banae. He has a long list of ex-girlfriends na kama wote walikuwa wameiva sana including this Toni Braxton na Halle Berry.

1 Like

He’s still has no kids or wife, anawakula proper

2 Likes

Umama.jpg

He did get a kid with a single mother like a year ago or something.

2 Likes