The legend mwenyewe:D:D
@ChifuMbitika ako Pyasa saa hizi anapiga picha za wamama wazee :D:D:D
Nîatîa mundu wa Muranga?
Siku hizi naenda Quivers. Though Pyasa ni ya family but nimehama huko
True dat broda
Shifo nini inaendelea hapo juu…? nmekuja mbio nikidhani ni news za Kijiji kumbe ni jamaa anaimba. Sasa how do you dance to such music…?
Anaimba kuhusu vituko apitiavyo pale kijiji cha Mbitika. Hii ngoma unadance Ile style ya ngoma za Wakamba
A stroke at a time
Illustration…hapo hamna wimbo
Meant a medical stroke, the only way to dance @PHARMACY roots and culture mixes
Wuew za kina @PHARMACY Wacha tu…kama hauna stamina achana nazo