Mtaji mkubwa katika maisha ni watu na mahusiano.Tumeshuhudia madhila mengi kwa RAIA chini ya uwaziri wa Mwigulu.Kama Kiongozi wa kisiasa na daraja kwa umma hakufanya ama kutoa majibu ya kuridhisha.Leo hii anarudi mtaani kuendelea maisha ya kawaida.Hivi wateule hawa hupewa ulinzi maalumu baada ya kazi!? Mwigulu karibuni mtaani beba msalaba wako.Watendaji na wengine wenye dhamana tujifunze.
Siajabu mwigulu nae akaanza povu kama nape
Haha alidhani amefika kumbe cheo ni dhamana.
Bado ni mbunge
Hata Kibajaji na Msukuma ni wabunge
Kumbe wazee bado mnaendeleza mambo huku KT!!
Du wengine na ajira tumepata
Utakuta alikuwa akipewa maelekezo toka juu ya “kuwapoteza” watu…
Lakini wakati wa kutumbuliwa yuko peke yake!
Inauma sana hii
piga chini…
Time has tell…
Cc: @Mahondaw
Mnamuonea, hawezi kufanya hayo anayolaumiwa naye bila idhini ya mamlaka iliyomteua, never! Alaumiwe aliyemteua maana yametokea yote hakuwahi kukemea. Mbona amekemea Lugumi, why not Lisu shooting!
Damian huku ni salama
Hahaha unamuonea huruma, watu wasiojulikana
True Mkuu, Maisha ni menyu na muhudumu ni Muda, fasta unganisha oder zenu kisha huduma itakuja. #Fid Q
Muda pekee ndio msema kweli
Yule anajua vitu mingi sana lazima aheshimu mamlaka. #wasiojulikana waheshimiwe
[ATTACH=full]181326[/ATTACH]
Hivi huyu Mwigulu alimpa pole Lisu baada ya kumiminiwa risasi na wasiojulikana!
Alifanya sherehe ya kufa mtu yeye na wauaji wenzake.
Duu! Huyu sasa ni zaidi ya shetani!
Duh, alijua Lisu angekufa.