Becoming first team to ever win all 3 continental trophies.. meanwhile Arsenal is waiting to lift their first continental trophy ‘next season’ congratulations team ya nduthi gang ama vipi @Yuletapeli
2 Likes
Chelsea wawachane na vikombe za team kama brentford na kina Southampton. Ni wakuje wapambane na elites pale UEFA. Kuna vikombe za maana buana.. hio game ilikuwa tu kama zoezi walai.
Sasa nyinyi na ni madem wenyu walificha uchi yenyu juzi tuu. Ebu first win the champions league then you can sit on the high table of European football. Otherwise hii mambo ya kujaza Tu qualifier groups kama kamagera wa kutega ndio matatu ijae haraka mtawacha
2 Likes
… seasons zetu za ku shine zitakuja fika. Tuna utulivu wa hali ya juu.
1 Like