Cheki Maneno: Breaking the 100Km barrier

leo nimechoka hata bae @Doltress akinipatia ikuss sikuli.

[ATTACH=full]244114[/ATTACH]

Niliona Jubilee development on the way

[ATTACH=full]244117[/ATTACH]

Naona uliswitch to iOS

How did your balls take it?

hiyo ni ya kazi. Ni juu I had their meffi watch for tracking

@patco kijana alinunua iphone. I guess you were not wrong after all…lol

nkienda 60KM/H+ kando ya Malori za Wachinku sina time ya kufikiria vile balls zinafeel. Injury tutatibu nyumbani

Nilipewa ya Job. Unadhani naweza nunua na pesa yangu? Catch me dead

Hehehe. Sijasema kitu munene

Vile aliskia whatsapp itatotolewa kwa Huawei ilhali yeye ni group admin wa 40 whatsapp groups including ‘Umoja Phase One Nyumba Kumi Group’… that was the one that broke the camel’s back.

Na inaonekana amefurahishwa sana na camera ya hio iphone. Sijawai ona kama amepost picha hapa ktalk. Hata akiwa na ile “state of the art” camera ya pokophone that MKBHD said is better than the iphone’s, hakuwai dhubutu ku post picha hapa. Leo ni mara ya first!!

Halafu @Deorro ni CEO mgani huyo hupatia mfanyikazi wake iphone hapa Kenya??!

Not unless umewai mtolea nguo na ukachunishwa managu. Hapa Kenya mfanyakazi hununuliwa kabambe so wacha chocha. Simu ya ofisi ya community kawaida ni LG ile cheapest on the market. Na imefungwa nyuma na cellotape msiibe battery.

Labda useme ni purple alikuletea ile iphone yake mzee ya U.S.

Akakuletea kama birthday present.

Huhuhuhuhu…

Maths experts, please explain how he this admin did 100km , cycling 11km/hr for 5 hrs.

Hiyo ni ya QA

Uko na ujinga sana. That picture is not from an iPhone. Also nimepost pictures mingi sana on Ktalk taken from My Phone cam and also a video shot on GO Pro.

As a software dev my employer gives me whatever I need to accomplish the task given, sio kila mtu ni office messanger kama wewe

A bicycle kwa mlima si kama Cayenne kwa mlima. Ololua Forest, Ngong, Kiserian, Isinya, Rongai sio flat surface. Kuna milima mingi sana za kupanda

some places unafika mwisho wa barabara na inabidi ubebe bike ukishuka to the ground [ATTACH=full]244122[/ATTACH]

some places you snack
[ATTACH=full]244123[/ATTACH]

Sometimes you take water breaks

[ATTACH=full]244124[/ATTACH]

sometimes unafika kwa mlima kama hii unapanda na gear 1-1 or something close. Unadhani utaenda haraka

[ATTACH=full]244125[/ATTACH]

some plaes lazima utoke kwa barabara lorry ya mchiku zikipita

If it were a flat surface like heading to Magadi where you descend to the floor of the rift valley, would have finished it it less time at a speed of like 70km/h

as a 17 i would hug blackmamba for one hour uphill. no gears, earth road, not a single point downhill. objective was not to step on the ground till i am at the destination. nikifika ni kama nimenyeshewa. I bet you cant do it.

You can barely cover 5Kilometres uphill with that bike. if 17 year old you with gearless Blackmamba was with us jana ungelemewa Ololua Forest. Assuming ningeweka Gear 3-8 uphil, after the first 1 you think you would have completed 96KM?

I have done the Nairobi-Magadi route with a black mamba once. From kona baridi downhill was ok, but ma section zingine hapo mbele zilini angaisha sana. The show stopper was the last mlima after the lake ndo upige corner ukiingia Magadi town. Hapo nlisaidiwa kuskuma bike.

Swafi sana mzito

Leta hekaya buana, how long did it take you?

This was many rains ago, during one of the Uvumbuzi bikathon events … took me kedo 5hrs from Uhuru park through Ronga to Magadi

I was the ultimate athlete then. I have never seen anyone else do it. I would cover something like 16 km. hiyo ya gear I would cross africa.