Kitenge Maalim Jussa shared a post to the group: MANGE KIMAMBI.
21 hrs ·
Ndani ya ndege kulikuwa na watu watano.Lakini maparachute yalikuwa manne tu.Watu hao ni Mchungaji, Waziri, Mwanajeshi, Lipumba na mwanafunzi wa chekechea. Ndegeikaleta hitilafu angani.
Mchungaji akasema yeye anategemewa na kanisa hivyo hapaswi kufa,akachukua parachute akaruka.
.
Waziri akasema wananchi wanamtegemea awaletee maendeleo,akachukua parachute akaruka.
.
Lipumba akasema Dhamila yangu inanisuta akachukua parachute akaruka faster.
.
Wakabaki mwanajeshi na mwanafunzi wa chekechea.
Yule mjeshi akamtazama mwanafunzi akamuonea huruma,kisha akasema,“mimi najitolea kufa kwa ajili yako,wewe chukua hilo parachute lililobaki ujiokoe kisha mimi nitakufa na hii ndege”.Yule mwanafunzi akajibu"usijali yamebaki maparachute mawili"
Yule mjeshi akashangaa!!akauliza mawili kivip?
Mwanafunzi akasema:YULE LIPUMBA KACHUKUA BEGI LANGU LA SHULE AKIDHANI NI PARACHUTE!https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v9/f32/1/16/1f912.png?_nc_eui2=AeFwFjn5gS13Odq4kTIQO8AqwRsI2R_uSte-mZCvlAr9YF1K97yRujy1G9Ya1FVQYyP34Axed0cHAJWe6t28z0SxQIRl1clG8suKK1KOaG4ROQ