Checki maneno....

I have not ridden my bike for a while…and my body was getting used to it. Nimehema sana leo.
To acclimatise myself again I decided to go to kasarani stadium and train with my bike. …picha ndio hii hapa chini
[ATTACH=full]7662[/ATTACH]

Ooh and btw I got myself a bike speedometer. I hit a maximum speed of 40km/hr

So after riding furiously around kasarani stadium I decided to go to mwiki and then onto the bypass.

On my way I remembered a poor soul who was hit by a lorry at his flower farm hapo on the bypass near kangundo road last week and passed on in his daughter’s arms last week. His burial was today may he rip. Anyway I panicked and decided to explore kasarani area instead…nimepitia hapo kwa @Purr_27 btw hehe, yea I know your house.

Lakini watu wa kasarani muwache kufanya mto kama barabara zenyu…hebu Oneni hii maneno hapa chini
[ATTACH=full]7663[/ATTACH]
[ATTACH=full]7664[/ATTACH]
Hii ni story gani??

4 Likes

Weka picha ya the daughter ama ni hekaya

Hapo ni wapi kasarani

Hapo Sawa. Si pia ungepitia hivi kasa stadium . … and show some support to our volleyball Malaika’s . Lakini hao watu wa kasa bana… hata mto wamemaliza!

Ile siku mungich wa Kasa watakupata ukipiga piga picha huko ndio utatambua malenge pia ni mboga.

3 Likes

Kasarani ni rasa ya Nairobi.

4 Likes

Kweli ni cheki maneno …leo nimeenda matembezi kidogo siko mtaa…next time beba @junkie n @Web Dev kwasababu hiyo poison wanakunywa ni iria ngananie(ni ile illegal)

Sawa sawa boss. Bike tume iona vizuri. Si lazima iwe kwa kila pic :smiley: :smiley: :smiley:

2 Likes

Ni huko kasarani ya pili

I tried getting in…lakini nikaambiwa lazima niwache bike kwa gate…mimi niwache bike yangu? Zii

True nilikuwa nawaonea mbali…lakini nilikuwa chonjo

Wacha kudiss kasarani wewe, na je utasema nini kuhusu kayole kwa @ekamsweu ?

Haha nimepiga picha zingine…lakini what would be the fun in posting those?

1 Like

hehe those roads that lead to lucky summer ama wapi? so ulitoka main road leo otherwise ningeletea wana kijiji mbisha uki cheki maneno

odometer inasema nini.
i want to know total distance covered today

Yea…leo sikuwa kwa highway…nilikuwa hio kasarani ya pili. …don’t know what its called

I travelled a total of 32 kms…

[FONT=Book Antiqua]Kasa ilipewa shamba kubwa sana. Hapo kalesinga ameimezea mate mbaya[/FONT]

2 Likes

@The.Black.Templar if I wanted a bike for exercising, not kama ile yako ya 450k, say something bellow 20k, what would you recommend?

hio bike iko kwa that price range

Just go out and buy one my friend…but it depends if you want a new one ama used.

Which reminds me…nimepitia place flani hapo tu kasarani where they sell second hand bikes…the looks those guys gave me…hehe it was a look of respect, we even noded at each other hehe

4 Likes

how long did it take you to ride 32 kms?

I am just happy to see that the land around Kasarani haijaibiwo na some jambazi politician. That road that goes around Kasarani Stadium is supposed to be exactly 10 Km. and hiyo picha yako reminds me of my days in High School we once had the Nationals hapo Kasarani and i ran the length of that road. - As a First Aider!

2 Likes

2hrs…my average speed was 12kms/hr
Waah najua mombasa itakuwa kibarua