checki maneno

So leo nilidecide niende nitafute hii kiambu racing circuit nikarace bike yangu huko, lakini milima ya kiambu wasee si mchezo. Nilikuwa nahema kama sijawai ride tena hadi nikawachana na huo mpango nikarudi.

Nikaamua niingie hii baze hapa…[ATTACH=full]2962[/ATTACH]

1 Like

Si umependa hiyo bike. Am very sure weekends nikizurura thika rd nitakupata na nipige picha

Hio bike itakumaliza nguvu zako za uzazi…kwanza venye hio kiti ni ndogo.

TUTAKUKAMLIA BIBI

1 Like

Hio ni uongo buda…its not like I sit on my balls… ata huwa haziguzwi.

Hehehe labda…but am rarely on thika road…the only time naikanyanga ni nikivuka. Lakini ukinipata unaweza nisalimia. :slight_smile:

I used to ride those things…nikaona zitanimaliza nikawachana na hio maneno

Where is this please. Looks very serene… Wud love to visit there.

Paradise lost on kiambu road

labda hukujua njia ingine… kuna shortcut maeby

Hee boss…kiambu yote ni milima bana tried to hepa them lakini wapi.

Nilijiuliza hizo milima na vibonde navuka ni mimi tu nitazipanda tena nikirudi? Nikaona hio kazi sitafanya so nikaenda na plan b

haha ofwhich ni kurudi home ulale

I can take you Nana before Ktalk mafisi start hovering.

A man and his boda boda

Call it what you want…yako iko wapi?

The black templar = Jaro soja

Who? What? Nani huyo?

Tusizoeane Priss!!..
Nana ni wangu,and take that as a warning!

Yule fan sugu wa gor mahia. Pia yeye huzunguka na ka bike ka green

[ATTACH=full]3005[/ATTACH]