Samsung has that feature.
[ATTACH=full]448884[/ATTACH]
Elder Statesman, I am one of those who say that you need to charge your smartphone fully to enjoy optimum battery life. I believe 85% battery will drain faster than a 100% one. Yaani, the obvious logic is obviously the right one. Mengine yoote ni myths and allegories. And that’s a true story.
The sky is blue
Nokia 3310 enzi zile ilikuwa unabuy na hadi msee wa safaricom shop anakwambia muweke charge 8 hours ijae kabisa. Saa hio ulifika tao na matatu ya kwanza kutoka mukurweini. Unachapa malap jevanjee gardens kutoka 10am hadi 6pm ukichill ijae. Ignorance is bliss.
[ATTACH=full]449144[/ATTACH]
Hii ni A nini?
Watu wa kuchomoa charger ikifika 20% tukae wapi?
[ATTACH=full]449146[/ATTACH]
And recharge the phone when it hits a low of 15%.
Hiyo feeling huwa poa sana.:D:D:D
Shittty mine last long at 71-79%