Chaos in Kangemi

Police lob teargas canisters to disperse youth who stormed enumerators training centre in Kangemi, Nairobi, protesting ‘faulty’ recruitment of census officials.
[ATTACH=full]254102[/ATTACH]
[ATTACH=full]254103[/ATTACH][ATTACH=full]254104[/ATTACH][ATTACH=full]254105[/ATTACH]
#sihesabiwi

I think this will be all over the country.

why?

[ATTACH=full]254107[/ATTACH]
Hapa kwani gas inatoka kwa macho ya huyo jamaa au hiyo ni robot ya ku-dispense gas?

exactly, unavuna unacho kipanda
[MEDIA=twitter]1161907377777651712[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1161906006454153218[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1161905641507708929[/MEDIA]

umeweka picha mingi ndio ionekane kama ni kote kote?:D:D:D

niaje village idler?

inasemekana hizi kazi za census machief wameziuza sana…

Mimi wakikuja usiku sifungui.
Wakuwe advised wafike mchana na preferably wanitumie kadame kamrembo.

No problem t

No problem there.
Niko hapa nakumbuka vile ilikua hapo hapo Kangemi siku ya uchaguzi naona hii ni kama unatuenjoy! Hii tunaweza sema ni handshake coalition.

sihesabiwi

How do pronounce your name?

These jobs should be done by Volunteers ama NYS. Hii Ujinga ya Kulipa watu sijui tulitoa wapi

Usiku unaeza fungulia crew ya gaza wakuibie na probably worse. I second you. #sihesabiwi

Siwezi fungulia nyumba mtu sijui unless akuwe one of our nyumba kumi Members.

Jana the same happened in Gachie. .hawa machief watu hovyo sanaa

Me too, I won’t allow them to disturb my peace… Watogonga mlango hadi watii!

2009 kuna muhindi alipata over 100m kuprint those forms.
The then KNBS boss alikuwa na a full office, with extensions and computer to monitor the printing. Rumour had it that his cut was 30%.
Later on hio scandal ikampata. Akarushwa nje.
Muhindi ako tu sawa mpaka wa leo.

all that paper is not there this time. the questionnaire is digital.

Shait!!!