Chang'aa dens

This is a true story that took place back in 2010. Just after high school, i went kutulia ushago kidogo for that period before one joins college. During this period, I and a few of my friends tulianza kuingilia ulevi ile mbaya. It came a time we were known to the whole village due to kuwa walevi chakari wa kijiji. We were even known in almost all chang’aa dens and whenever we visited any of the dens we would be welcomed na vishangilio,.,i think you people know how drunkurds cheer you up once they know you are a potential buyer.

Now there was this one den we liked most, it was our favourite. The brewer was known as changara. Changara’s den used to flow with customers, he had the best chang’aa in the entire village and hence the place used to flock like shit!

There was this one day we had gathered at changara’s drinking joint, here we were merrymaking, sharing glasses of chang’aa, which were being distributed as per the order you placed. Prices were ranging between 10/- to 30/-, for a full glass it was 30/-. It is at this time that everyone seemed to be so drunk and noisy that we even never realized kulikua na mariamu ilikuja ikasimama hapo nje. All of a sudden, four policemen wakashuka and dared us to run, unfortunately, no one could run juu ya ile ulevi ilikua imebeba watu. So wakaanza kufunga watu in pairs na chains wakirushwa kwa mariamu, all this time changara ako blackout ata haoni kitu,

So there is one friend of mine alikua anaitwa kidavi(though sai ni the late), kidavi aliamua haendi neti. That day kulikua kumenyesha ile mbaya, matope ilikua hadi ile ya uji; hope you understand, kidavi alijiangusha kwa iyo matope ya uji akaroll ndani till he was matope all over, kisha akawaambia, " kama mnataka kunipeleka, nibebeni basi":D:D:D, they had no otherwise wakamwacha but ile mijeledi aliekelewa, nikidhani inamuuma hadi sai kwa kaburi:D. Changara na yeye na ile blackout yake aliwekelewa kofi akaamka:D:D, before noticing what was happening, akarudisha kofi moto kuliko yenye alipigwa bila kujua mwenye alikua anarudishia:D:D:D, you can imagine which action huyo afande alichukua:D:D,. ilibidi watu wengine tumeshukishwa changara akabebwa pekee yake juu ya kupiga afande bare:D.

RIP Kidavi, Changara:D:D

Sijawahi kunywa hio kitu but nasikia a full glass unakunywa na majirani nyi wote mnalewa,ukweli?nmewahi kunywa mnazi,ukienda haja dogo hio place inanuka mnazi for a whole week,halafu ugetuwekea vile afande aliwaambia mkimbie

jamaa usicheze na chang’aa, but let me advise you, usiwai kunywa hizi za nairobi, that is sure death, za ocha ndio ziko sawa. just a full glass well brewed is almost equivalent to 250ml ya KC.

Another one from mighty village .:D:D:D:D:D:D good one

One time nilishikwa Niki kunywa chang’aa nikatupwa cell. Then I met one of my teachers pia hapo ndani. He was arrested from a different den.We started discussing how I didn’t hand over my homework that Monday …I promised to do it immediately I’m released. We never discussed where we met ever till when I was done with school

@gashwin hakunywi siku hizi, lakini anaeza buy maraundi for ol time sake

:D:D:D

Mambo yangu Na changaa nitasema uzeeni
Nangoja PT 2 ya hii hekaya

Morning VC. Si ulete Huyo heck-a-yeah tu.

Chang’aa ni shida tupu. In 2013 we had gone to Teso pale Chakol kwa kina @Abba for my cousin’s fuction, his inlaws were coming over for Introductions…sasa tume dance kudance yetu yote…the thirst was murderous na the only readily available drink was Uji Moto…
Having done a quick scan, nikaona chupa ya Victoria Springs…clear nikajua nimeangukia maji…mimi huyoooo Gulp kubwa na kumeza… Instant regret and passing out 15 min later…the shity was the saltiest stuff with a nasty smell I ever had…

Ilinuka pit latrine ? :smiley:

Nilinusa Obambla or at least something close…

i think i know this village those names are very familiar

What if nikikuambia kwamba I was in same class na yeye utaamini?

My father always warned me of Illicit changaa. Always took me to a bar and showed me how to buy Legal beer, But he never bought me any Beers. I didn’t neither till date. His alcohol buddies caused his death hence my beef with alcohol in general… nice read though:D:D:D:D

Uwongo, haujui. Tell me which village…

Starehe za ulevi ni za hali ya juu esp near blackout stage. The best place ni kama hakuna magari you swing from this side of the road to the other side without a care:D:D:D:D i once blacked out after taking chang’aa kufika kwa mto na briddge ilikua pole i just couldn’t close.:D:D:D:D

:D:DNice read there.:smiley:

AFter form four I had a friend in town who used to repair phones but was kalewa kuruka. Iko siku hii ninja imetupeleka den ya chang’aa then anauliza nani anataka tei? Tukiwa hapo kuna boy sijui wa Nairobi alikua anadai vile ye ni military makarau hawamshtui. Beshte yangu Jack na kiherere akaitikia. akapewa glass ya kwanza flash! saa hio glass ni 50. Sponsor akadai aongezewe ya 30, flash again. Kiasi kiasi msee akianza kublack out makarau wakaingia. Vile tu walisema kila mtu apendane na mwenzake, ninja aka anza kustammer “Madhe, madhe, usiwache nilale ndani”. Good thing mama pima alihongana hatukushikwa but sijawai rudi kwa nyumba ya gongo tena.