Chakubanga katika ubora wake

Uwezo wa huyu mbwa kukariri na kuimba asichokijua naufananisha na wa jamaa yetu aliyekaririshwa kuhusu trilioni 1.5 akaibuka na freestyle yake…#Sijamtaja_mtu

[MEDIA=facebook]1503555163089916[/MEDIA]

Ccm ni dude linaloflash akili za walishabikiao au wale wanaolitumikia, huwezi kuwa ccm ukawa na fikra huru kamwe

Watoto wa mjini tunasema… Hatariiii

Wakishapewa ulaji akili uwa wanazikabidhi magogoni

mr. slowslow