Cement prices; kumbe nikubaya!

Elders, I set my goal this year to put up a modern structure huko ocha. Sasa nilingojangoja kidogo hadi March then I swung into action.

Economic changes kicked in (sijui ni vita ya Russia ama!) and price ya cement ikaenda juu. I had planned to buy approx. 100bags this week na budget was around Kshs. 650/bag. Saa hii nimetafuta cement kwa local hardware naambiwa 900 + and they are not readily available, wanasema kimadharau. Yaani nikama nimeenda kununua underware kwa hardware.

Wakubwa sasa ndio nafeel the heat. Wacha ile tunasema ati watu wa magari ndio wanaumia fuel ikipanda.

For those who completed and/or are on similar projects, siri ni gani. Should I put the project on hold ama niendelee na hasara juu? Are the prices likely to go down?
https://www.businessdailyafrica.com/bd/corporate/companies/bamburi-increases-cement-prices-on-escalating-costs-3746658?view=htmlamp

kuna queue kubwa za malorry kwa factory za cement mavoko, tukianzia na National Cement. Guru anafurahi sana bei ya cement na chuma ikipanda

950 kshs huku kwetu na hakuna kuongea hata unataka kiasi gani…that is of 8am huku kwetu.

Prices never go down.
Count your loses and start construction.

Safi, I’m inclined to this

Na

Naskia Bamburi saa hii inachezea 1k plus.

Huku ni 570 Bana kwani mnaishi wapi

Mimi nikianzia kujenga ilikuwa 500. Last year nilibuy 600

Nukijenga mansion ilikuwa 480

I wish I could have the opportunity. Wacha nipambane na hali

Si uongee na @negrowegrow akupige through pass

Si Akan tu na lorry abebe all he wants to buy coz stock ni mingi. Kuna mzae well connected hata mkipanga line aje Bamburi bado yeye atapewa chance muwachwe hapo.

Import from Zambia it’s way cheaper

@epoch kama uko serious fuatilia story ya uyu

Sio uongo, nilibuy Monday lakini transport haitamaliza @epoch

Muwache muhahe. Cement is 650, nimeuliza baniani sahii tu

Kweli…hio 950 ni bamburi kwa mwalalo hapa…halafu sijui patty ya madirisha sahi ni 250 per kg ile quality poa.
Nimeambia fundi wacha nikalete material mwenyewe yeye atakwom job…akangangana ataleta mpaka reciept…nimeruka story yake ndio nikaenda hardware.

Hapa nairobi current price of cement is 560 kwa hardware. Interesting that 10yrs ago it was 720 bob.

If you can use simba cement, then they were doing renovation at their facility and will resume production next week. Expect prices to range from 650

Mjengo iko wapi? I can link you up with someone who will sell you at a reasonable price…