cedia for sale...

Asking price: 420K

[ATTACH=full]78668[/ATTACH]
[ATTACH=full]78669[/ATTACH]
[ATTACH=full]78670[/ATTACH]

Nko na 120k

3 Likes

[ATTACH=full]78672[/ATTACH]

20 Likes

Ukipata zaidi ya 200k…utakuwa na bahati sana,

2 Likes

270?

na ulipata ile engine ulikua unasaka?

he he … , ingekuwa poa ingekuwa manual :D:D:D:D

hehehehhe, ati sere!

1 Like

Ama nikubaiye haka ka SANDAK?

Sandak meaning?

270 zii, nilipata though lakini hii ni ya beshte Fulani anauza

2 Likes

Yawa …:D:D:D:D, kweli hiyo ni sandak compared to mercedes

1 Like

sawa wacha nikojoe bonus iishe kabisa

2 Likes

270 zii, nilipata though lakini hii ni ya beshte Fulani anauza

Jamaa ni hater wa kawaida

1 Like

Niko na 12k

ati 420??? huyoo jama yako ameweka shida zake apo…

A quarter an acre pale Joska ni pesa ngapi ?

Hii ni sleeper?

1 Like

Hehehehe, ni njanuari baba