Carding scheme by Thee Pluto,Sammy Boy and Fake Forex

1 Like

Noma sana

Why can’t these kids just go to shags and till the earth like normal people? Nobody will ever arrest you for selling a bag of maize.

5 Likes

Kijana anahamisha school fees ya mtu bila huruma, savings za mtu bila huruma, alafu ananunua gari ya 3.5M, unyama kweli huo

I think mostly target ni watu wako majuu. Not many kenyans have much cash laying in their bank accounts and those that do wako na influence. Unlike some random diasporan mwenye anaoshwa na hana recourse

1 Like

Hio ndio loading ama Carding? Basi wanaosha watu kwa wingi.

Haha Sammy Boy kuna time nilipatana na yeye Roysambu alikua anataka kunicon 10K ya fake robots. Back then, he made good money selling fake trading robots until his cover was blown. Kuna time pia alikua msee wa Only Fans. Nway, the enemy is poverty

1 Like

There’s a YouTube channel know as expozenga I have watched a few times. Those genZs are on another level in con games.

1 Like

Carding but due to YT restrictions inabidi isemwe hivyo.

1 Like

Thee Pluto pia yeye huoshana bana of all the people?
Ukiona akiongea unaeza dhani anafanyanga biz legit kumbe anaosha account za watu sawa sawa. Alafu anakuja kuonyesha wasee vile ako into farming kumbe jamaa rents a farm with animals inside to floss to people alafu after he is done mwenyewe anakula za macho and he walks away. No wonder dem yake alimtoka.

1 Like

Inaitwa front shop..in covering tracks hata politicians wakiloot wanadai ni egg farming or chicken seller

1 Like